Hakikisha kwamba domeni yako ya .AERO ni rahisi kuandika
Hii huenda ikaonekana kama jambo la kawaida, lakini ni muhimu kulikumbuka—jaribu kuchagua jina fupi la domeni ya .AERO ambalo ni rahisi kukumbuka, kutamka na kuandika. Hii itawarahisishia watu kupata biashara yako na kuwaambia wengine kuihusu.